FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Mpaka dk hii ya 10 kiungo mzamiru kagusa mpira mara 1 tu anajificha ficha tu migongoni mwa maadui ni kama hautaki mpira vile 🤣😂
Baada ya dk ya 10 mpaka sasa hivi ya 18, mzamiru kajitahidi kiasi, kagusa mpira mara kadhaa, kapoteza chache, kapora mipira kama miwili hivi.
 
Back
Top Bottom