makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Baada ya dk ya 10 mpaka sasa hivi ya 18, mzamiru kajitahidi kiasi, kagusa mpira mara kadhaa, kapoteza chache, kapora mipira kama miwili hivi.Mpaka dk hii ya 10 kiungo mzamiru kagusa mpira mara 1 tu anajificha ficha tu migongoni mwa maadui ni kama hautaki mpira vile 🤣😂