FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Mpaka dk hii ya 10 kiungo mzamiru kagusa mpira mara 1 tu anajificha ficha tu migongoni mwa maadui ni kama hautaki mpira vile πŸ€£πŸ˜‚
Baada ya dk ya 10 mpaka sasa hivi ya 18, mzamiru kajitahidi kiasi, kagusa mpira mara kadhaa, kapoteza chache, kapora mipira kama miwili hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…