FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Azam ni tawi la simba... hata Timu ya tajiri ikicheza na Yanga wanakamia haswaa
 
Wewe haujui mpira nimeona uzi wako unaosema shida ya Simba ni kukosa captain ambaye angeweza kusaidi ushambuliaji.

Yani hata majukumu ya captain ndani ya uwanja huyajui, ndio uweze kuongelea maswala ya technical bench kama hayo?
Usipoteze mda wako, mana mashabiki wa simba wamelikubali chama lao. Hta hao wenyewe wameuona mziki wetu mana walijua leo watashinda 8 majigambo mengiii kumbe hamna lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…