FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Simba siwadai wachezaji wote na benchi zima la ufundi...yani mmekiwasha vile hatarii pira lipoo...
Yajayo yanafurahisha
wewe watu tunaangalia ubao, possession mara sijui nimeupiga mwingi hizo mbwembwe tuu.
objective of the game is to score goals not play beautiful
 
Ubayaaaaaaa ubwelaaaaa....
Tumeanza kwanz na shobo za magoli mengi...
Tunakuja sasa na ubaya ubwela wa kutotufunga...
Jiandaeni kisaikolojia...
 
Kiujumla Timu zenu zimecheza vizuri japo shida kubwa imekuwa ni makosa ya mchezaji mmja mmja kiasi kwamba tumekosa utamu wa magoli.

Yanga Bado Haina straika wa mwisho labda waliopo Wapewe mda.

Simba imecheza vizuri na inaonesha uhai kuliko Simba ya kina Chawa so Wapewe mda watatisha sana,wamefungwa Kwa sababu wamecheza na Timu Bora.

Mwisho Kwa Sasa Simba ni underdog Kwa Yanga Hadi hapo watakapojipata.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C-ayDDnKzzY/?igsh=MTZzYWx4NTl4MGZtYQ==
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…