FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Kama ww hujaiona Simba na kuiogopa basi nakupa pole sana...
Maana yajayo yanafurahisha...
Asanteni Watani zangu...mmewaimarisha wachezaji wetu kuanzia sasa comfindence watakua nayo kuwakabili...
Muwe na usiku mwema...
kwny ngao ya jamii nitawashabikia[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji846][emoji846][emoji846][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]

Mashabiki wa Yanga tunamfuata mke wa mwijaku au anakujaa mwenyeweeeeee kwa Ally Kamwe?
 
Nakuchukia
Neno "umbwa" "takataka"

Jumapili dogo zenyuuu tutawanyoosha kam kauwaaaaaa 💚💛🖤💪💪🕺🕺🕺🕺

Nilikuepo

Kesho nayo siku 🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️😴😴💤💤💤💤💤💤💤💤



Cc Smart911
 
N.B.. Ligi ikianza mumwambie kabisa kocha wenu ..kuna viwanja kama sokoine huko au jamhuri dodoma .. Viwanja vya kazi.. Msimu huu hatutaki vizingizio ..

ooh timu haijaunganika..sasa "kwa farao" mlienda talii? Cc ephen_ 😂😂😂😂😂😂😁😁😁😁😁😁😁
Acheni wivu...yani kagoli kamoja ndo msahaau mtiti mliopata dimbani?
Shida nyie hamna hela za kwenda kurefresh...😃😃😃
Hizo ni tabu zenu sio zetu...
 

Watanganyika,ondokeni huko wekeni vichwa na akili zenu humu. Tunapigwa na kitu kizito
 
Yanga hawana raha hata kidogo...ushindi mwembamba kama uzi...😃😃😃walijipanga kwa mafuriko waweke mabango...
 
Back
Top Bottom