Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
Kama ww hujaiona Simba na kuiogopa basi nakupa pole sana...
Maana yajayo yanafurahisha...
Asanteni Watani zangu...mmewaimarisha wachezaji wetu kuanzia sasa comfindence watakua nayo kuwakabili...
Muwe na usiku mwema...
kwny ngao ya jamii nitawashabikia[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji846][emoji846][emoji846][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
Mashabiki wa Yanga tunamfuata mke wa mwijaku au anakujaa mwenyeweeeeee kwa Ally Kamwe?