FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024


Mashabiki wa Yanga tunamfuata mke wa mwijaku au anakujaa mwenyeweeeeee kwa Ally Kamwe?
 
Nakuchukia
Neno "umbwa" "takataka"

Jumapili dogo zenyuuu tutawanyoosha kam kauwaaaaaa πŸ’šπŸ’›πŸ–€πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ•ΊπŸ•ΊπŸ•ΊπŸ•Ί

Nilikuepo

Kesho nayo siku πŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸ˜΄πŸ˜΄πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€



Cc Smart911
 
N.B.. Ligi ikianza mumwambie kabisa kocha wenu ..kuna viwanja kama sokoine huko au jamhuri dodoma .. Viwanja vya kazi.. Msimu huu hatutaki vizingizio ..

ooh timu haijaunganika..sasa "kwa farao" mlienda talii? Cc ephen_ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜
 
Acheni wivu...yani kagoli kamoja ndo msahaau mtiti mliopata dimbani?
Shida nyie hamna hela za kwenda kurefresh...πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Hizo ni tabu zenu sio zetu...
 

Watanganyika,ondokeni huko wekeni vichwa na akili zenu humu. Tunapigwa na kitu kizito
 
Yanga hawana raha hata kidogo...ushindi mwembamba kama uzi...πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒwalijipanga kwa mafuriko waweke mabango...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…