FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Kaka,Weka haya meneno, Chama hataweza kucheza sababu ya bullying atapata game shake. Baleke sio Striker wa kumuhofia wala dube, Tunakaba Pacome tu na Azizi mechi tumemliza
Nani atamkaba Pacome na nani atamkaba Aziz Ki?? Mamelodi wakishindwa kumkaba Aziz Ki ataweza Kapombe?
 
Endeleeni kujipa moyo na maneno ya kizamani,eti dabi haina mwenyewe,siku hizi mwenye timu bora anashinda hata nje ndani na ukijisahau unakula hata 3+
 
Liealo na liwe
IMG_2681.jpeg
 
Inasemekana maagizo yamewafikia na kuyatekeleza Matola na mwenzie Mgunda simu zao zipo on with full charged

Yani ni ile kupigwa na kupokea

Matokeo ya leo yatamfanya Mnyama ajihisi hivi ana mkosi gani
 
Kila la kheri yanga timu ya mrembo Bantu Lady na ya Jirani Shadeeya


Kila la kheri Simba timu ya ephen_ timu yenye wadada wazuri wote Tanzania
Ahsante sana mzee wa Hall 5. sumbai Leo ushindi tu. Yanga daima mbele, nyuma mwiko 💪💚💛. Ukiona bendera kubwa juu, kwenye tako la nyani jua nimimi. Nina fujo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom