Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Mgeni rasmi Kibu alikuwa wa Yanga..!!??Uto ndo tunahuo ujinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mgeni rasmi Kibu alikuwa wa Yanga..!!??Uto ndo tunahuo ujinga.
Mgeni rasmi Kibu alikuwa wa Yanga..!!??Unadhani simba Lunyasi ni washamba kama sisi Utopolo.
Kinyonge sanaKila la kheri Timu ya Wananchi katika kuendeleza pale tulipoishia.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Mkuu unamfahamu Deogratius Kisandu?Mkeooo akikiweka ndani ukitoka usizofuw nenda na zile harufu chawa lala nazo na nguo zoteee mpaka asikilizie tena lala upande wake
By Thom j
Unapatikana wapi ngariba niandae vitendea kazi!Nasisitiza Yanga wakipata hata goli moja nikatwe korodani.
Jitu linalokufa linajulikana. Mgunda ajiandae kuchukua timu.linakufa jitu leo
tafadhali mkuu matusi siyawez, mm nimesema "linakufa jitu leo"Jitu linalokufa linajulikana. Mgunda ajiandae kuchukua timu.
KWENYE POST YANGU, NIMEKTUKUNA AU NIMEMTUKANA YEYOTE MATUSI??tafadhali mkuu matusi siyawez, mm nimesema "linakufa jitu leo"
mkuu na wewe mbona unakuwa mgumu wa kuelewa.?KWENYE POST YANGU, NIMEKTUKUNA AU NIMEMTUKANA YEYOTE MATUSI??
Hahahahaha sawaDaima Mbele Nyuma Mwiko jirani.
Hamna cha kutuzuia kuingia Final labda Mahakama tu jirani..
Ndo unieleweshe sasa..!!mkuu na wewe mbona unakuwa mgumu wa kuelewa.?
yaishe mkuu, tukutane baada ya jitu kufaNdo unieleweshe sasa..!!