FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Wachezaji wa yanga wanacheza jihad kama timu ya baba yao! πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜ Cc ephen_
 
 
Kwangu mpira ni burudani zaidi kuliko ushabiki..
Hivyo sahau kugombana kisa boli.
Mimi pia timu yangu ikifungwa huwa nachukia na kupata hasira kidogo kwa muda usiozidi dakika mbili tu !
Kisha nasema this is football and football is a game of chance !
Kwisha habari yake πŸ€£πŸ™ŒπŸ‘
πŸ˜³πŸ™„
 
Tulivyowaambia lile neno SANDA ni nuksi hamkutusikia, haya sasa ngoja tufanye mazishi
 
Mimi pia timu yangu ikifungwa huwa nachukia na kupata hasira kidogo kwa muda usiozidi dakika mbili tu !
Kisha nasema this is football and football is a game of chance !
Kwisha habari yake πŸ€£πŸ™ŒπŸ‘
πŸ˜³πŸ™„


Basi wewe sio shabiki mzuri, hasira zako za kufungwa kama za nyumba ndogo, maana nyumba ndogo hainuni haraka, hata ikinuna ni dak 2 hasira imeisha na anaendelea kukupenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…