Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka jana walivyochukua hili kombe walisema timu ikichukua ngao huwa inachukua na NBC! Kumbe wapiii😂WanaseMa achukuae kombe hili basi ligi kuu atasubiri sana..ila leo simba atuwaachii kitu kombe zote tunabeba
Nilijua unehamia team yayule jamaa yako alieachwa na yangaMwaka jana walivyochukua hili kombe walisema timu ikixhukua ngao huwa inachukua na NBC! Kumbe wapiii😂
Naomba link ya ku stream hii gameMwaka jana walivyochukua hili kombe walisema timu ikichukua ngao huwa inachukua na NBC! Kumbe wapiii😂
Usinikumbushe machungu🥹Nilijua unehamia team yayule jamaa yako alieachwa na yanga
Muhasibu mbona wasiwasiKapombe anaanza. Atatoka tukishafungwa
Ubaya ubwela
Bora chama alivyoachwa nje
Natamani ningekutumia lakini sina na sijui pa kuipataNaomba link ya ku stream hii game
Lete link bwashee
Mimi ni interested observer ila siipendi ccm so rangi rangi za hivyo ni turnoff kwanguNatamani ningekutumia lakini sina na sijui pa kuipata
Wewe ni timu gani?😉
😁🤣🤣😁😁😁Kapombe anaanza. Atatoka tukishafungwa
Hamna mkuu usiogope.Kapombe anaanza. Atatoka tukishafungwa
So huipendi Yanga!Mimi ni interested observer ila siipendi ccm so rangi rangi za hivyo ni turnoff kwangu