DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Kwa leo sio Kweli Simba leo anamcharaza Yanga Vizuri sanaPole sana dr! Andaa mkasi cz saa 3 nakuja kukata vi🍒mbupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa leo sio Kweli Simba leo anamcharaza Yanga Vizuri sanaPole sana dr! Andaa mkasi cz saa 3 nakuja kukata vi🍒mbupu
KwendaChupu chupu. 🤣🤣🤣
🤣🤣Kwenda
Mpaka dk hii yeye ndio hajagusa mpira halafu ni midfielder eti, anajificha migongoni mwa watu, hautaki mpira😂Nissan Patrol hiyo unaambiwa ...pumzi ya mganga haikati ...Leo hahahaha😂
Tunawafunga Kama watoto leo 😀😀Dr nipo na kisu 😁😁 ambulance ipo standby
Nakazia.DUBE NA SIMBA WAKAE CHINI WAMALIZE TOFAUTI
Ukimya wa SIMBA una kishindo kikubwa sana cha ushindi
Ngao ya Jamii: Alhamis hii ni nusu fainali ya wababe. Saa 1:00 usiku ni Kariakoo Derby Yanga SC dhidi ya Simba SC ngoma itapigwa dimba la Benjamin Mkapa.
Nipo Nyinyi ndo msikimbieUsikimbie kabla ya dkk 90
Mimi nilishasema, ndio hujuma zenyewe hiziKapombe huwa anapanda kutafuta nini kama ikiwa uwezo wa kurudi nyuma haraka hana, na kila mtu analijua hilo.?