min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Shadeeya hongera sana mna timu nzuri na mna uzoefu ila simba umeionaje?Wamekusikia. 💪
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shadeeya hongera sana mna timu nzuri na mna uzoefu ila simba umeionaje?Wamekusikia. 💪
Wamebebwaaaaa, ni penat dhahiri kbs. Ila timu tunayooooPENATI ya wazi hii
Hahahahaaa. LolShadeeya nakuchukia 😏
Umeangalia mechi lakini?Kazi bado tunayo
Timu Tunayo Mzee mwenzangu Safari hii tunachukua KombeWamebebwaaaaa, ni penat dhahiri kbs. Ila timu tunayoooo
Refa leo kawabeba sana makoloHivi hiki ndo kinaitwaga kimoja cha mkwenini vileee? 🤣🤣🤣
Time will tellHii Simba ipewe tu miezi 2 au 1 itakuwa ya moto sana
Mashabiki wa Simba wanaojua soka watanielewa
Timu inasajili wachezaji 14 halafu hamna kitu 🤣🤣🤣🤣
Makolo ni Makolo tu