FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Umbwa sana
Huwa najiuliza hii id ni nani huyuuπŸ€”πŸ€”πŸ€¨!

Poleni sana wana 5imba

Ambieni dogo zenyu jumapili tutawanyoosha

Usiku mwema

Mrare unono wanayangaπŸ’šπŸ’šπŸ’›πŸ’›πŸ–€πŸ–€πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄

πŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈ

Cc Smart911
 
Mi nilipocheki kipindi cha kwanza tu nikasema hii ni timu.

Hapo bado wachezaji hawajapata muunganiko, matokeo ya hii mechi wala sio kitu ambacho naweza kujilaumu.

Na hii inaenda kuwa kama msimu uliopita, japo Gongowazi tuliwafunga lakini wao waliridhika kutokana na kile ambacho timu yao ilikionesha.

Tuipe muda timu kuna mengi mazuri yanakuja.
Naunga mkono hoja.
 
Huwa najiuliza hii id ni nani huyuuπŸ€”πŸ€”πŸ€¨!

Poleni sana wana 5imba

Ambieni dogo zenyu jumapili tutawanyoosha

Usiku mwema

Mrare unono wanayangaπŸ’šπŸ’šπŸ’›πŸ’›πŸ–€πŸ–€πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄

πŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈ

Cc Smart911
Nakuchukia
 
Kama ww hujaiona Simba na kuiogopa basi nakupa pole sana...
Maana yajayo yanafurahisha...
Asanteni Watani zangu...mmewaimarisha wachezaji wetu kuanzia sasa comfindence watakua nayo kuwakabili...
Muwe na usiku mwema...
kwny ngao ya jamii fainali nitawashabikiaπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡
Karibuni wine na mahindi ya kuchemsha...
 
Back
Top Bottom