Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Msijali wana Gongowazi, injinia kaandaa sindano na bahasha na vitafanya kazi half time hii. Yanga Afirika, Nyuma mwiko.
 
Yanga iliyokuwa inacheza kwenye pre season na Yanga inayocheza kwenye ligi kuu unaweza sema ni timu mbili tofauti. Kuna aibu klabu bingwa inaweza kutokea
kwamba hufahamu leo imewakosa wachezaji wangap wa kikosi cha kwanza mkuu mbona unachambua ki.mahaba
 
Back
Top Bottom