zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
tuliwapa sindano 5 za moto hadi leo mna wewesekaSindano hadi kocha na benchi lote la ufundi. Ni mwendo wa sindano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tuliwapa sindano 5 za moto hadi leo mna wewesekaSindano hadi kocha na benchi lote la ufundi. Ni mwendo wa sindano
Screen Protector imeingia cracks😂Diarra pazia kumbe
Offside nini?!penalty!😂Yaani Offside imeachwa na refa ila Musonda anashindwa kufunga😄😀😃😜😜
Yanga Nguvu MojaMwasibu za leo?
Kwamba Yanga ashinde kipindi cha pili.Refa andaa penati 3 kipindi cha bili. Hata kama ni 20m utapewa
mara 5 kama ile ya tarehe 55? Labda dozi ya sindano ibustiwe mara 5
Shida ipo kwa Gamondi, anachobadilisha ni wachezaji tu ila staili ya kushambulia ni ileile . Imefanya timu nyingi zimetuzoea namna ya kutuzuia tusifunge.Namna hii tutaishia kusbinda goli chache sana. Gepu la Bacca linaonekana wazi aiseeYanga iliyokuwa inacheza kwenye pre season na Yanga inayocheza kwenye ligi kuu unaweza sema ni timu mbili tofauti. Kuna aibu klabu bingwa inaweza kutokea
safari hii wote watandikwe crystapen injection hakuna namnaToo bad.. inabidi HT tuongeze dozi za Sindano
Ni Yanga Nguvu MojaNdiyo naingia wakuu nini kimetokea!!?
Wakauchomolee huko wasituchafue.Hahaaaaaaa mwiko nyumaaaaaa leo mtauchomoa
c baada ya diara kupanuliwaSasa magoli yanaingiaje?
Upo wapi kwa sasa? ujipatie huduma sindanotuliwapa sindano 5 za moto hadi leo mna weweseka
Unaangalia mpira?Leo Diara kachoka anaonekana kabisa
Yanga huwa mnasema Kila mchezaji ni mkali.kwamba hufahamu leo imewakosa wachezaji wangap wa kikosi cha kwanza mkuu mbona unachambua ki.mahaba
Jamani Aziz Ki si mchezaji wa maana, jiulizeni, zaidi ya mashuti ya mbali ana nini cha ziada? Jamaa ukiondoa mashuti yake hana lolote zaidi ya kuwa mzigo tu kiwanjani.Mmemuona Azizi Ki saizi yupo ndani na hakuna kitu anafanya.
Then akitoka nje anageuka kuwa kocha msaidizi kuanza kuwa lecture wenzake.
Anaona ni rahisi kuwaambia wenzake cha kufanya wakati yeye akiwa humo ndani anashindwa kutekeleza
Wewe una hukumu kwa kuangalia mechi ya leo mimi nina hukumu kwa kutumia mechi ambazo yanga wamecheza za ligi kuu. Kuna watu walianza kuona Yanga inashuka ila wengine wakatetea kuwa ligi ni ngumu. Muda ndio inatupa jibu sasakwamba hufahamu leo imewakosa wachezaji wangap wa kikosi cha kwanza mkuu mbona unachambua ki.mahaba