Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Mimi nakosa amani sababu najua hii mechi tunashinda, ila natamani sana tungepoteza ili tuwaambie madhaifu yapo wapi, maana ukiwaambia wakati timu inashinda wanaziba masikio
 
Yanga iliyokuwa inacheza kwenye pre season na Yanga inayocheza kwenye ligi kuu unaweza sema ni timu mbili tofauti. Kuna aibu klabu bingwa inaweza kutokea
Shida ipo kwa Gamondi, anachobadilisha ni wachezaji tu ila staili ya kushambulia ni ileile . Imefanya timu nyingi zimetuzoea namna ya kutuzuia tusifunge.Namna hii tutaishia kusbinda goli chache sana. Gepu la Bacca linaonekana wazi aisee
 
Mmemuona Azizi Ki saizi yupo ndani na hakuna kitu anafanya.

Then akitoka nje anageuka kuwa kocha msaidizi kuanza kuwa lecture wenzake.

Anaona ni rahisi kuwaambia wenzake cha kufanya wakati yeye akiwa humo ndani anashindwa kutekeleza
Jamani Aziz Ki si mchezaji wa maana, jiulizeni, zaidi ya mashuti ya mbali ana nini cha ziada? Jamaa ukiondoa mashuti yake hana lolote zaidi ya kuwa mzigo tu kiwanjani.
 
kwamba hufahamu leo imewakosa wachezaji wangap wa kikosi cha kwanza mkuu mbona unachambua ki.mahaba
Wewe una hukumu kwa kuangalia mechi ya leo mimi nina hukumu kwa kutumia mechi ambazo yanga wamecheza za ligi kuu. Kuna watu walianza kuona Yanga inashuka ila wengine wakatetea kuwa ligi ni ngumu. Muda ndio inatupa jibu sasa
 
Back
Top Bottom