OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Yanga Nguvu MojaNi aibu Simba na Yanga kutokuwa na viwanja vyetu, nimesikia huo uwanja Azzam wameshaanza uswahili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga Nguvu MojaNi aibu Simba na Yanga kutokuwa na viwanja vyetu, nimesikia huo uwanja Azzam wameshaanza uswahili.
Vipi hii page mbona imeganda hivyo hivyo muda sasa?Mechi: Yanga SC VS Tabora United
Ligi: NBC Premier League
Uwanja: Azam Complex
Tarehe: November 7,024
Muda: 🕖 6:00PM
View attachment 3145701
Dakika, 11 Si Yanga wala Tabora hakuna timu iliyopata goli hadi sasa.
Dakika, 15 Mchezo umendelea kuwa mzuri timu zote zinacheza kwa utulivu sana.
Dakika, 19 Tabora wanapata goli kupitia Chikola.
Dakika, 30 Yanga wanaendelea kufanya mashambulizi hadi sasa bado awajapata kusawazisha goli.
Dakika, 34 Mlinda mlango wa Tabora amekuwa bora kudaka mipira hatari kutoka kwa Yanga.
Dakika, 44 Bado ngoma ngumu kwa Yanga hadi sasa. Tabora wakiwa bado wapo mbele.
Dakika 4 zimeongezwa kutamatika dakika 45 za kipindi cha kwanza.
Dakika, 47 Yanga wanapata penati.
Dakika, 48 Tabora wanapata goli la pili kutoka kwa Chikola.
Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimekamilika.
Dakika 45 za kipindi cha pili kimeanza Je Yanga atafanya maajabu ya soka kusawazisha magoli mawili.
mkuu umeanza fatilia mpira jana tabora timu ndogoSi mna kikosi kipana au imekuwaje tena, yani kama mpaka timu ndogo kama tabora nayo ni ya kuiwekea first eleven mtatoboa kweli, yani first eleven hiyo hiyo itumike cafcl na nbcpl si watamaliza msimu wakiwa wamechoka sana na kujikuta hawajaambulia kombe hata moja
Oyaaaa oyaaaaaa BALTAZAR ndio mwenyekiti.Tupe kimasiara moja ☺️😊
Na wenyewe walicheza pungufu kama Yanga ?mkuu umeanza fatilia mpira jana tabora timu ndogo
umecheza nayo haina wachezaji 8 wa kikosi cha kwanza
Pia simba ilikua na kikosi kipya karibia % 70mkuu umeanza fatilia mpira jana tabora timu ndogo
umecheza nayo haina wachezaji 8 wa kikosi cha kwanza
Peleka hukotabora mechi na nyau kweli walikuwa pungufu, wangekuwa wamekamilika kama hawa nyau angepigwa mapema sana
Andika vizuri Faiza,hauupgate ndiyo nini?
Ni huzuni kuu. Vyura wa pale Jangwani mpaka sasa weshazamishwa kwenye tope umbali wa futi mbili ndani ya tope. Tunasubiri tuone kama wataweza kujitutumua kutoka chini ya hilo tope. Muda waliopewa ni dk. 45 tu, zikiisha hizo wakiwa bado hawajatoka, itakuwa ndiyo kwisha habari yao kwa siku ya leo.Ndiyo naingia wakuu nini kimetokea!!?
Ya 55 sasa
Hii comment hii🙌🏿🙌🏿🙌🏿😂😂😂Amphibia wanaweza kuliwa kichwa