Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Wameshawapiga sindano wachezaji wao kina Dube?
Tatizo la hizi sindano wachezaji wakipumzika wanapata usingizi ghafla.A case in study Chama alikuwa anasinzia kwenye benchi.
Azam wametuma video TFF ili ichukue hatua.Kuna mzee atakuja kufa uwanjani na hizi dawa za kuongeza nguvu.
 
Hili kikosi kinanipa mashaka sana
 

Attachments

  • IMG-20241107-WA0100.jpg
    IMG-20241107-WA0100.jpg
    83.4 KB · Views: 2
Wanayanga wengi humu ni plastic fan

Yaani uzi umepoa kisa kupoteza mechi moja tu tukishinda leo ndiyo utaona mnatirirka hapa

Shame on you
 
Back
Top Bottom