Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kufungwa mechi Moja ishakuwa kipindi kugumu😃😀😄Tunashukuru sana mtani 👏 pamoja na kupitia kipindi kigumu kwa sasa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufungwa mechi Moja ishakuwa kipindi kugumu😃😀😄Tunashukuru sana mtani 👏 pamoja na kupitia kipindi kigumu kwa sasa!
Saa mbili usije kusema hayaWenye akili ni wangap vile😂
Nyie mnapitia kipindi kigumu?Tunashukuru sana mtani 👏 pamoja na kupitia kipindi kigumu kwa sasa!
Tabora piga ndezi haoooo!Mechi: Yanga SC VS Tabora United
Ligi: NBC Premier League
Uwanja: Azam Complex
Tarehe: November 7,024
Muda: 🕖 6:00PM
View attachment 3145701
Lolote baya liwapate Utopolo FC. Mmezidi 'kujimwambafy'Kila la heri kwa Wananchi Young Africans. 💛💚💪 Ushindi kwenu ni muhimu sana, huku mkitambua fika kila timu ya ligi kuu kwa sasa inawaza kuwakamia tu ili msiwe mabingwa kwa miaka 10 mfululizo.
All the worst Utopolo FC. 😎All the Best Yanga
Maneno haya si mageni jijini…Saa mbili usije kusema haya
GSM anaharibu ligi
Yanga wanajidunga Singapore
Refa kapewa bahasa
Wewe this time ndiyo utakula ban
Huyu jamaa anakimbilia kufungua uzi halafu hatoi updates yoyoteMechi: Yanga SC VS Tabora United
Ligi: NBC Premier League
Uwanja: Azam Complex
Tarehe: November 7,024
Muda: 🕖 6:00PM
View attachment 3145701
Washafungwa bana 🤣🤣🤣Na saizi wamekuja na kitu kipya
Siku hizi wameanza kujidunga.