Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Hili nalo ni la kubisha sio?

Kibwana hata mazoezini hakuwepo kama week 1 .

Unadhani wanapanga tu hovyo mtu aingie?
Bado hujanijibu nauliza tena asipocheza fitness ataitoa wapi? Kwenye maelezo ukishaandika neno ''kama'' ina maana una uhakika.
 
Naona umeamua kukaza fuvu tu sio?

Hivi mtu hujacheza mechi hata moja tangu ligi ianze halafu leo ghafla upangwe kweli? Kama umewahi kucheza mpira utaelewa ila kama shabiki tu sawa.

Yaani farid mussa au kibwana ambao hawajacheza muda sana yaani hata game moja leo ghalfa uwapange kwenye game ngumu hivi?

Match fitness inapatikana kwa mchezaji kupewa dakika chache chache mfano dakika ya 80 huko then taratibu anazidi kuongezewa dakika mpaka anakuja kucheza game nzima.
 
Ndicho na mimi nachomaanisha wapewe nafasi sijasema wacheze dakika 90
 
Back
Top Bottom