Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Your browser is not able to display this video.
 
Hao Wachezaji wa Bongo ni kama homa za vipindi, Ditram Nchimbi alikuwa wamoto Yanga wakamsajili kumbe mavi matupu.

Yuko wapi George Mpole?
 
Ninachokiona ni uchovu tu wachezaji wametumika sana week hizi mbili non stop na majeraha kadi tena sehemu zile muhimu muhimu sana.

Yaani aucho ndiyo wa kuzima beki ya kati kweli?
Hamna kikosi kipana ndio maana uchovu umewakumba...
 
Hao Wachezaji wa Bongo ni kama homa za vipindi, Ditram Nchimbi alikuwa wamoto Yanga wakamsajili kumbe mavi matupu.

Yuko wapi George Mpole?
Chikola kapata nafasi mbili na hizo hizo mbili kaweka goli.
Huyo Dogo apewe nafasi.


Shooting accuracy yake ipo juu mno
 
Mtaua wazee wa watu kwa pressure
Your browser is not able to display this video.
 
Simba Wameshtuka mapema huo uwanja tuwaachie Azam wenyewe, ni aibu sana Simba na Yanga hawana viwanja vya nyumbani ambapo unaweza kufanya lolote kabla ya mechi.
Mbona mkapa haitulipi kwa njia izo pale stars
 
Boka ni mzuri kuliko nouma
 
Chuma cha 3 kapiga Muganga kama sindano vile.Sindano za kuongeza nguvu leo walishtuka kutumia.Wakaingia watupu mara vitatu.Pakiti ikaishia hapo.Rough Rider.
 
Ooyaàaa weeee pameanza kuchangamkaa bwanaaaa
wamepigwa Paaaa Paaaaa Paaaaàaaaaaaaaaaa cha tatu hichooo!!!!!
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
 
Wale walokuwa hawatumii vitu vichungu kama mimi, karibuni
 

Attachments

  • 20241107_205430.jpg
    340 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…