Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

FB_IMG_17308928751745062.jpg
 
 
Offen Chikola kaupiga mwingi sana, aitwe taifa stars

Hao Wachezaji wa Bongo ni kama homa za vipindi, Ditram Nchimbi alikuwa wamoto Yanga wakamsajili kumbe mavi matupu.

Yuko wapi George Mpole?
 
Ninachokiona ni uchovu tu wachezaji wametumika sana week hizi mbili non stop na majeraha kadi tena sehemu zile muhimu muhimu sana.

Yaani aucho ndiyo wa kuzima beki ya kati kweli?
Hamna kikosi kipana ndio maana uchovu umewakumba...
 
Hao Wachezaji wa Bongo ni kama homa za vipindi, Ditram Nchimbi alikuwa wamoto Yanga wakamsajili kumbe mavi matupu.

Yuko wapi George Mpole?
Chikola kapata nafasi mbili na hizo hizo mbili kaweka goli.
Huyo Dogo apewe nafasi.


Shooting accuracy yake ipo juu mno
 
Mtaua wazee wa watu kwa pressure
 
Simba Wameshtuka mapema huo uwanja tuwaachie Azam wenyewe, ni aibu sana Simba na Yanga hawana viwanja vya nyumbani ambapo unaweza kufanya lolote kabla ya mechi.
Mbona mkapa haitulipi kwa njia izo pale stars
 
Dalili ya mvua ni mawingu. Timu ilianza kwa kupata ushindi wa kagoli kamoja! Mwishoni imeanza kupokea vichapo mfulilizo.
Kwa hiyo lazima hatua zichukuliwe! Kocha atimuliwe, na wakati wa dirisha la usajili, wachezaji wazuri nao waongezwe. No way out, ok!!
Boka ni mzuri kuliko nouma
 
Chuma cha 3 kapiga Muganga kama sindano vile.Sindano za kuongeza nguvu leo walishtuka kutumia.Wakaingia watupu mara vitatu.Pakiti ikaishia hapo.Rough Rider.
 
Ooyaàaa weeee pameanza kuchangamkaa bwanaaaa
wamepigwa Paaaa Paaaaa Paaaaàaaaaaaaaaaa cha tatu hichooo!!!!!
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
 
Wale walokuwa hawatumii vitu vichungu kama mimi, karibuni
 

Attachments

  • 20241107_205430.jpg
    20241107_205430.jpg
    340 KB · Views: 2
Back
Top Bottom