Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… nakuonaga unvyochanganyikiwa mkifungwa. Zamu yenu yaja. Usitukane mamba kabla hujavuka mto. Thanks love πŸ₯°
Sijawahi changanyikiwa kipenzi umenifananisha..πŸ˜„πŸ˜„mm huwa nipo tukifungwa ni kama tumefunga na tukifunga tumefunga... kisa cha kufa na presha?..sisi tumeshapitia hayo madhila ya kutusimanga humu..hii ni zamu yenu...ila havina muda tutasahau...
 
Mas
Mechi: Yanga SC VS Tabora United
Ligi: NBC Premier League
Uwanja: Azam Complex
Tarehe: November 7,024
Muda: πŸ•– 6:00PM
View attachment 3145701

Dakika, 11 Si Yanga wala Tabora hakuna timu iliyopata goli hadi sasa.

Dakika, 15 Mchezo umendelea kuwa mzuri timu zote zinacheza kwa utulivu sana.

Dakika, 19 Tabora wanapata goli kupitia Chikola.

Dakika, 30 Yanga wanaendelea kufanya mashambulizi hadi sasa bado awajapata kusawazisha goli.

Dakika, 34 Mlinda mlango wa Tabora amekuwa bora kudaka mipira hatari kutoka kwa Yanga.

Dakika, 44 Bado ngoma ngumu kwa Yanga hadi sasa. Tabora wakiwa bado wapo mbele.

Dakika 4 zimeongezwa kutamatika dakika 45 za kipindi cha kwanza.

Dakika, 47 Yanga wanapata penati.

Dakika, 48 Tabora wanapata goli la pili kutoka kwa Chikola.

Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimekamilika.

Dakika 45 za kipindi cha pili kimeanza Je Yanga atafanya maajabu ya soka kusawazisha magoli mawili.

Dakika, 54 Hussen Masalanga anatoka baada ya kupata maumivu.

Dakika, 59 Yanga wanaendelea kulisakama goli la Tabora lakini mambo ni magumu
Maskini! Ulishindwa malizia kureport matukio muhimu ya match kama Yanga wamepata penati, je waliifunga au ili dakwa, ukaanza kidogo kipindi cha pili mambo yakawa magumu ukakimbia uzi wako,. Pole sana
 
IMG-20241108-WA0018.jpg
View attachment 3147136
View attachment 3147133
 
Ufungwe kwani uzi umekuwa Yanga?
Anafungwa Manchester City F.C wewe unaumia Yanga kufungwa? Kwenye mpira kufunga, kufungwa, sare ni matokeo pia. Yanga itabaki kuwa Yanga na historia zake. Na bado ubingwa tutabeba, tuwafunge vidomodomo vyenu.

#Yangadaimambelenyumamwiko#
#tunafungwailaubingwawetu#
#timuinayowaumizamadunduka#
#timutunayonaubingwatunao#
🟩🟨🟩🟨🟩🟨🟩🟨🟩🟨🟩🟨🟩🟨
 
Mechi: Yanga SC VS Tabora United
Ligi: NBC Premier League
Uwanja: Azam Complex
Tarehe: November 7,024
Muda: πŸ•– 6:00PM
View attachment 3145701

Dakika, 11 Si Yanga wala Tabora hakuna timu iliyopata goli hadi sasa.

Dakika, 15 Mchezo umendelea kuwa mzuri timu zote zinacheza kwa utulivu sana.

Dakika, 19 Tabora wanapata goli kupitia Chikola.

Dakika, 30 Yanga wanaendelea kufanya mashambulizi hadi sasa bado awajapata kusawazisha goli.

Dakika, 34 Mlinda mlango wa Tabora amekuwa bora kudaka mipira hatari kutoka kwa Yanga.

Dakika, 44 Bado ngoma ngumu kwa Yanga hadi sasa. Tabora wakiwa bado wapo mbele.

Dakika 4 zimeongezwa kutamatika dakika 45 za kipindi cha kwanza.

Dakika, 47 Yanga wanapata penati.

Dakika, 48 Tabora wanapata goli la pili kutoka kwa Chikola.

Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimekamilika.

Dakika 45 za kipindi cha pili kimeanza Je Yanga atafanya maajabu ya soka kusawazisha magoli mawili.

Dakika, 54 Hussen Masalanga anatoka baada ya kupata maumivu.

Dakika, 59 Yanga wanaendelea kulisakama goli la Tabora lakini mambo ni magumu
Hao Tabora si ndiyo walisimamisha gogo lililokatwa miaka kadhaa nyuma
 
Back
Top Bottom