OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hizi kufuru ndio adhabu yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si mlikua anasema mna kikosi kipana? Vipi tenaYao Yao Kwasi majeruhi
Bocca majeruhi
Baka ana nyekundu
Mabeki hao wote wameenda bench sasa Yanga imebakia haina mabeki kule nyuma amebakia Mwamnyeto tu
Kingine Yanga hawatulii uwanjani sijui kuna tatizo Diara magoli yanaingia hata haruki lile goli la kwanza limeingia hajaruka kaacha tu liingie angeruka hata angepangua lingekua sio goli na goli la pili pia hivyo hivyo na goli la tatu hakua anafuata mpira karibu magoli yote kwa hio Diarra bila mabeki hakuna kitu Yanga itaishia kufungwa tu Aucho amejitahidi sana kumsaidia Mwamnyeto pale ila haikuwezekana sababu Tabora walikua wanarudi wote nyuma kuziba goli ila Yanga wanawaachia Aucho na Mwamnyeto huku nyuma wengine hawarudi nyuma kwa hio Tabora wanakuja wengi wanajifungia tu
Kingine Pacome Aziz Ki Mudathir Mzize Chama Maxi Nzengeli Dube wakifika karibu na goli nje ya 18 wajaribu kutia mashuti walenge goli km alivyokua anafanya Sureboy alilenga mara 2 ila alikua anatoa nje hayakua yanalenga goli yale mashuti kwani nani aliewafundisha wakafungie ndani ya goli ndani ya 18 nani anawaambi wapasiane mpaka ndani ya 18 yaan wakafungie mbele ya kipa ndani ya 18 Gamond ndio anawalazimisha wafanye hivyo?
Mimi sikuelewa yaan wanakazana wakafungie ndani ya 18 kwanini wasifunge nje ya 18 wangepiga mashuti mengi nje ya 18 Tabora ingefungwa Yanga walikua na nafasi nyingi za kufunga ila mbinu waliyoitumia ndio imewafelisha Mwalimu kwanini anawalazimisha wakafungie ndani ya 18? Kwanini wasitie mashuti nje ya 18 pale kufunga kupo tu
Kingine Yanga wachezaji wakifika karibu na goli hawatulii kabisa yaan sijui niseme hawajiamini au namna gani ila hawatulii wakifika golini kufunga km wanashikwa na kitete sio Aziz Ki sio Pacome sio Dube sio Maxi yaan almost wote wakifika golini kufunga wanakua km wanakosa kujiamini hivi sasa sielewi hawa wachezaji wa Yanga wana matatizo gani?
Kidogo niliemuona Kibabage alikua anajituma sana na confidence za kutosha na Sureboy, Chama na Mzize nae kwa mbali walikua wametulia tatizo lilikua ni wakifika goli la Tabora Tabora wote wanajaa golini wote wanaziba goli wote ila kwa Yanga mpira ukifika golini kwa Yanga anaekuepo kuzuia ni Mwamnyeto na Aucho tu wengine wote hawarudi golini kuzuia wasifungwe hapo lazima mfungwe na Tabora walipoona hilo wakawa wanatumia mwanya huo huo kwenda kufunga na wanaenda wengi kule goli la Yanga yupo Aucho na Mwamnyeto tu ndio wanalinda goli kwanini msifungwe wakati mpo out numbered?
Wachezaji wa Yanga hawapo sawa kabisa kocha inabidi abadiri kikosi Aziz Ki Pacome Maxi hawa wasianze dakika 45 za kwanza inabidi watokee bench Chama Mzize na Dube inabidi waanze dakika 45 za kwanza Aziz Andambwile sijamuona jana Baleke aingizwe dakika za mwishoni zimebaki 20, 10 au 15 ndio aingizwe Nickson Kibabage Khalid Aucho ni bunduki za Yanga
Watu kwenye bandaumiza walikua wanasema Yanga pale nyuma haina beki mpaka nikasogelea TV nimtafute Mwamnyeto ndio nikamuona Bakari Nondo nikajiuliza hamna beki au hamna Mabeki?
Na mratibu wa kutafutia wachezaji wanawake yaani ukuwadiSimba Haji alitumika kama msemaji na mhamasishaji tu. Kwa Yanga anatumika kama mratibu wa waganga, sina hakika kama kuna mabadiliko
Kwani Aly kamwe kiti kilikua cha moto?? Mbona kasimama mwanzo mwenga
🤣🤣🤣Bahati mbaya sio mapenzi wa mpira
😀😀😀😀😀Utopolo walizidiwa kila mahali, hata kwenye nyuzi! wameanzishiwa na mashabiki wa Simba.
cc; Vincenzo Jr , kiwatengu
😀😀😀😀
Kaka jana nilizimia uwanjani 😃 😃 😃Vincenzo Jr Uko wapi Kaka
🤣🤣🤣🤣🤣 Pole sanaKaka jana nilizimia uwanjani 😃 😃 😃
Shukrani kaka 😀😀niliekewa dripu 5 😭🤣🤣🤣🤣🤣 Pole sana
Pole mtani😀😀😀😀😀
Shukrani sana ndugu yangu 😃😀😃Pole mtani
waache umevagawa na wageni watachoka tuHuu uzi ufungwe sasa.
Pole chimama mzuri...kaeni tuu mtulie hivyo hivyo...baada ya siku 3 tunasahau au tuombee..Huu uzi ufungwe sasa.