Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
π π π π π π nakuonaga unvyochanganyikiwa mkifungwa. Zamu yenu yaja. Usitukane mamba kabla hujavuka mto. Thanks love π₯°Pole chimama mzuri...kaeni tuu mtulie hivyo hivyo...baada ya siku 3 tunasahau au tuombee..
Sijawahi changanyikiwa kipenzi umenifananisha..ππmm huwa nipo tukifungwa ni kama tumefunga na tukifunga tumefunga... kisa cha kufa na presha?..sisi tumeshapitia hayo madhila ya kutusimanga humu..hii ni zamu yenu...ila havina muda tutasahau...π π π π π π nakuonaga unvyochanganyikiwa mkifungwa. Zamu yenu yaja. Usitukane mamba kabla hujavuka mto. Thanks love π₯°
πππAmphibia wanaweza kuliwa kichwa
Maskini! Ulishindwa malizia kureport matukio muhimu ya match kama Yanga wamepata penati, je waliifunga au ili dakwa, ukaanza kidogo kipindi cha pili mambo yakawa magumu ukakimbia uzi wako,. Pole sanaMechi: Yanga SC VS Tabora United
Ligi: NBC Premier League
Uwanja: Azam Complex
Tarehe: November 7,024
Muda: π 6:00PM
View attachment 3145701
Dakika, 11 Si Yanga wala Tabora hakuna timu iliyopata goli hadi sasa.
Dakika, 15 Mchezo umendelea kuwa mzuri timu zote zinacheza kwa utulivu sana.
Dakika, 19 Tabora wanapata goli kupitia Chikola.
Dakika, 30 Yanga wanaendelea kufanya mashambulizi hadi sasa bado awajapata kusawazisha goli.
Dakika, 34 Mlinda mlango wa Tabora amekuwa bora kudaka mipira hatari kutoka kwa Yanga.
Dakika, 44 Bado ngoma ngumu kwa Yanga hadi sasa. Tabora wakiwa bado wapo mbele.
Dakika 4 zimeongezwa kutamatika dakika 45 za kipindi cha kwanza.
Dakika, 47 Yanga wanapata penati.
Dakika, 48 Tabora wanapata goli la pili kutoka kwa Chikola.
Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimekamilika.
Dakika 45 za kipindi cha pili kimeanza Je Yanga atafanya maajabu ya soka kusawazisha magoli mawili.
Dakika, 54 Hussen Masalanga anatoka baada ya kupata maumivu.
Dakika, 59 Yanga wanaendelea kulisakama goli la Tabora lakini mambo ni magumu
Poleni saanaHuu uzi ufungwe sasa.
Ufungwe kwani uzi umekuwa Yanga?Huu uzi ufungwe sasa.
Dah.. Hahahahahaπ€£ labda kwakuwa ni wa yanga iliyofungwa 3 na Tabora. Nyuki hakumbatiwiUfungwe kwani uzi umekuwa Yanga?
πUfungwe kwani uzi umekuwa Yanga?
.kushuti nje ya 18 nakufunga goli inahitaji enegy kubwa sana jambo ambalo wachezaji wa nyumamwiko hawana kwa sasa
Anafungwa Manchester City F.C wewe unaumia Yanga kufungwa? Kwenye mpira kufunga, kufungwa, sare ni matokeo pia. Yanga itabaki kuwa Yanga na historia zake. Na bado ubingwa tutabeba, tuwafunge vidomodomo vyenu.Ufungwe kwani uzi umekuwa Yanga?
Hao Tabora si ndiyo walisimamisha gogo lililokatwa miaka kadhaa nyumaMechi: Yanga SC VS Tabora United
Ligi: NBC Premier League
Uwanja: Azam Complex
Tarehe: November 7,024
Muda: π 6:00PM
View attachment 3145701
Dakika, 11 Si Yanga wala Tabora hakuna timu iliyopata goli hadi sasa.
Dakika, 15 Mchezo umendelea kuwa mzuri timu zote zinacheza kwa utulivu sana.
Dakika, 19 Tabora wanapata goli kupitia Chikola.
Dakika, 30 Yanga wanaendelea kufanya mashambulizi hadi sasa bado awajapata kusawazisha goli.
Dakika, 34 Mlinda mlango wa Tabora amekuwa bora kudaka mipira hatari kutoka kwa Yanga.
Dakika, 44 Bado ngoma ngumu kwa Yanga hadi sasa. Tabora wakiwa bado wapo mbele.
Dakika 4 zimeongezwa kutamatika dakika 45 za kipindi cha kwanza.
Dakika, 47 Yanga wanapata penati.
Dakika, 48 Tabora wanapata goli la pili kutoka kwa Chikola.
Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimekamilika.
Dakika 45 za kipindi cha pili kimeanza Je Yanga atafanya maajabu ya soka kusawazisha magoli mawili.
Dakika, 54 Hussen Masalanga anatoka baada ya kupata maumivu.
Dakika, 59 Yanga wanaendelea kulisakama goli la Tabora lakini mambo ni magumu
π€£π€£π€£Shukrani kaka ππniliekewa dripu 5 π