sema watapigwa maana wamekutana na wanao jua zaidiHawa Tabora wanajua sana
Maana halisi ya matikiti kudondoka matikiti kudondokea 😁😁😁😁
Huku kwetu ni vibe tuWashafungwa bana 🤣🤣🤣
tabora mechi na nyau kweli walikuwa pungufu, wangekuwa wamekamilika kama hawa nyau angepigwa mapema sanaOh tulikua pungufu
Watu mnawahi kufungua nyuzi ili angalau kuhabarisha kwa ufupi, matokeo hata lineups mnashindwa kuziwekaMechi: Yanga SC VS Tabora United
Ligi: NBC Premier League
Uwanja: Azam Complex
Tarehe: November 7,024
Muda: 🕖 6:00PM
View attachment 3145701
Dakika, 11 Si Yanga wala Tabora hakuna timu iliyopata goli hadi sasa.
Dakika, 15 Mchezo umendelea kuwa mzuri timu zote zinacheza kwa utulivu sana.
Dakika, 19 Tabora wanapata goli kupitia Chikola
kuna timu imepokea bahasha mechi 4 mfululizo, iache kwanza kupokea iyo timuBahasha zina mwisho wake, aya sasa.
ANAPIGA SANA MBUNYE YA MABETO LAZIMA AISHE.Aziz kii ana tuchelewesha asha isha
Mtawakataa wote msimu huu, mlianza na Dube now Aziz...tuendeleeAziz kii ana tuchelewesha asha isha
Wana DNA za utopoloYacuba na Heriet Makambo vipi tena?
Wasipochoma watalala na viatuhalf time lazima sindano zichomwe