SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Wenzio washaacha kuongelea hizo habari za sijui tarehe 5 goli 5, mara tarehe 8 goli 8. Hizo swaga zishakufagamara 5 kama ile ya tarehe 5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenzio washaacha kuongelea hizo habari za sijui tarehe 5 goli 5, mara tarehe 8 goli 8. Hizo swaga zishakufagamara 5 kama ile ya tarehe 5
Pole sana. Bado kuna dk. 45 nyingine vijana wanaweza kupindua matokeoUwiiiiii
sisi ndio wagawa dozi za sindano mnasahau mapema zile sindano 5 za motoUpo wapi kwa sasa? ujipatie huduma sindano
Injinia anaongeza dau HTRefa andaa penati 3 kipindi cha bili. Hata kama ni 20m utapewa
swaga za mjini ni sindano 5 na mnazizungumzia nyieWenzio washaacha kuongelea hizo habari za sijui tarehe 5 goli 5, mara tarehe 8 goli 8. Hizo swaga zishakufaga
Na bado wameshindwa hahahaha MUNGU fundiHali si nzuri kwa yanga refa anafanya vitu vya aibu sana tff tunawaomba sana marefa wa hivi hawafai!
ndo kwanza ina anzaGemu Bado Mbichi.🫡
Kwa kutumia red card. Watapigwa kadi wawiliPole sana. Bado kuna dk. 45 nyingine vijana wanaweza kupindua matokeo
Yaani baaado, mpaka msemeeTatizo la mabeki linatufanya yote haya. Kulikua na sababu gani ya kumuacha Gift Fredy. Halafu ukajaza kule wakina Baleke ambao huwatumii sana.
Bado hatujasikia milio,wanangu wa tabora endeleeni kupiga kwenye ugoko.Tatizo la mabeki linatufanya yote haya. Kulikua na sababu gani ya kumuacha Gift Fredy. Halafu ukajaza kule wakina Baleke ambao huwatumii sana.
Meza lazima ipinduke🤫ndo kwanza ina anza
Naona utopolo kapoteana Aziz ki aende mashujaa kwa mkopoMechi: Yanga SC VS Tabora United
Ligi: NBC Premier League
Uwanja: Azam Complex
Tarehe: November 7,024
Muda: 🕖 6:00PM
View attachment 3145701
Dakika, 11 Si Yanga wala Tabora hakuna timu iliyopata goli hadi sasa.
Dakika, 15 Mchezo umendelea kuwa mzuri timu zote zinacheza kwa utulivu sana.
Dakika, 19 Tabora wanapata goli kupitia Chikola.
Dakika, 30 Yanga wanaendelea kufanya mashambulizi hadi sasa bado awajapata kusawazisha goli.
Dakika, 34 Mlinda mlango wa Tabora amekuwa bora kudaka mipira hatari kutoka kwa Yanga.
Dakika, 44 Bado ngoma ngumu kwa Yanga hadi sasa. Tabora wakiwa bado wapo mbele.
Dakika 4 zimeongezwa kutamatika dakika 45 za kipindi cha kwanza.
Dakika, 47 Yanga wanapata penati.
Dakika, 48 Tabora wanapata goli la pili kutoka kwa Chikola.
Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimekamilika.