zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
red wataipata kwa michezo yao ya kijinga wacheze mpira mambo ya kupoteza muda ya niniRefa inabidi awape red card Tabora ili kunusuru mambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
red wataipata kwa michezo yao ya kijinga wacheze mpira mambo ya kupoteza muda ya niniRefa inabidi awape red card Tabora ili kunusuru mambo
Maneno haya si mageni jijini labda uwe mgeni wa jiji..Siamini macho yang mpaka sasa tuko nyuma chuma 2 kwa zero dhidi ya tabora utd ..maamayo zenu wachezaji na benchi la ufundi
😂😂😂😂Kila la heri kwa Wananchi Young Africans. 💛💚💪 Ushindi kwenu ni muhimu sana, huku mkitambua fika kila timu ya ligi kuu kwa sasa inawaza kuwakamia tu ili msiwe mabingwa kwa miaka 10 mfululizo.
Zama zimepita...Kuna baadhi ya mashabiki waliwahi kusema anadaka hata mishale! Leo imekuwaje tena.
🤣🤭Kuna baadhi ya mashabiki waliwahi kusema anadaka hata mishale! Leo imekuwaje tena.
Yanga ndio magwiji wa uchawi ushahidi upo!Ni aibu Simba na Yanga kutokuwa na viwanja vyetu, nimesikia huo uwanja Azzam wameshaanza uswahili.
Si mna kikosi kipana au imekuwaje tena, yani kama mpaka timu ndogo kama tabora nayo ni ya kuiwekea first eleven mtatoboa kweli, yani first eleven hiyo hiyo itumike cafcl na nbcpl si watamaliza msimu wakiwa wamechoka sana na kujikuta hawajaambulia kombe hata mojakwamba hufahamu leo imewakosa wachezaji wangap wa kikosi cha kwanza mkuu mbona unachambua ki.mahaba
Tupe kimasiara moja ☺️😊🤣🤣🤣 uto
😃🤣🤐Huyu Aziz Ki mngekubali kumuuza hata kwa nusu bei tu! Amekuwa mbovu sijawahi kuona!
😆😃😀😄Zama zimepita...
Zama za mitutu sahivi🤣🤣🤣