Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Siamini macho yang mpaka sasa tuko nyuma chuma 2 kwa zero dhidi ya tabora utd ..maamayo zenu wachezaji na benchi la ufundi
Maneno haya si mageni jijini labda uwe mgeni wa jiji..
IMG_4198.jpeg
 
kwamba hufahamu leo imewakosa wachezaji wangap wa kikosi cha kwanza mkuu mbona unachambua ki.mahaba
Si mna kikosi kipana au imekuwaje tena, yani kama mpaka timu ndogo kama tabora nayo ni ya kuiwekea first eleven mtatoboa kweli, yani first eleven hiyo hiyo itumike cafcl na nbcpl si watamaliza msimu wakiwa wamechoka sana na kujikuta hawajaambulia kombe hata moja
 
Back
Top Bottom