Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Mabao mawili ya Often Chikola yanaipeleka, Young Africans Sc mapumzikoni wakiwa nyuma dhidi ya Tabora United katika dimba la Azam Complex, Chamazi.
1730996328073.jpg

Yanga Sc 0-2 Tabora United
⚽ 19’ Chikola
⚽ 45+3’ Chikola

Stephanie Aziz Ki alipata fursa ya kuisawazishia Young Africans Sc kwa mkwaju wa penalti kabla ya Often Chikola kuiandikia Tabora United bao la pili sekunde chache baadaye.

#KitengeSports
 
Kwakuwa aziz k katolewa na gundu zake, yanga inashinda
 
Kama kuwa mjinga kutatokana na mimi kuicheka Yanga kufungwa

Basi kwa akili yangu nimekubali kuwa mjinga.

And I'm fine for that
Sikusema wewe n mjinga kwasababu unacheka yanga kufungwa
Ni haki yako
Ndio utani wa jadi hu
Hata mimi ukifungwa ntacheka

Nakuambia mjinga kwakua mmekua(wewe na mwasibu)
Na tabia ya kujumuisha matokeo ya mojakwamoja kwa kitu cha dakika au siku moja
Hamna subira!
 
Back
Top Bottom