Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona bado sana.Leo ndo nimejua kupenda mpira ni hatari kuliko sumu, yanga inataka kuondoka na uhai wangu kabisa.
Potelea bondeni.Ila madunduka nasikia wamefunga njia huko chamazi wanasheherekea kufungwa kwa Mabingwa wa wakati wote. Ila kama furaha yenu, huja tukifungwa endeleeni. Ikija zamu yenu mtulie tuli kama mnanyolewa zivu.
Aahhh wapi. Inanyweka!!!? 🤣🤣🤣Hivi kuna watu wamekunywa supu kweli leo pale Utopoloni.
Babu upo yanga makopo nilijuaga tu hii ni harakati za panya kuishia sakafuniKila la heri kwa Wananchi Young Africans. 💛💚💪 Ushindi kwenu ni muhimu sana, huku mkitambua fika kila timu ya ligi kuu kwa sasa inawaza kuwakamia tu ili msiwe mabingwa kwa miaka 10 mfululizo.
Walisahau kumeza dawa?Mimi leo simlaumu kocha ni mapema sana kumlaumu Gamondi. Leo wachezaji walikuwa hawana Energy yaani hawajitumi unaona kabisa Tabora walikuwa na Energy kuliko sisi hata magoli yalikuwa yanaonekana kabisa kwamba hii move ni goal.
Wamelipwa kweli posho hawa wachezaji?
Huwa wanameza dawa gani?Walisahau kumeza dawa?
Mara hii gamondi siyo master tena wanangu wa thupu?