Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

downloadfile-1.jpg
 
Ila madunduka nasikia wamefunga njia huko chamazi wanasheherekea kufungwa kwa Mabingwa wa wakati wote. Ila kama furaha yenu, huja tukifungwa endeleeni. Ikija zamu yenu mtulie tuli kama mnanyolewa zivu.
Potelea bondeni.
Kwa leo acheni tu tufurahi
 
Mimi leo simlaumu kocha ni mapema sana kumlaumu Gamondi. Leo wachezaji walikuwa hawana Energy yaani hawajitumi unaona kabisa Tabora walikuwa na Energy kuliko sisi hata magoli yalikuwa yanaonekana kabisa kwamba hii move ni goal.
Wamelipwa kweli posho hawa wachezaji?
 
Wananchi, Young Africans Sc wamepoteza mchezo wa pili mfululizo kwenye Ligi Kuu bara kufuatia kipigo cha 3-1 dhidi ya Nyuki wa Tabora katika dimba la Azam Complex, Chamazi.
1731003956351.jpg

Kwa kipigo hicho, Yanga Sc wanasalia nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi wakiwa na pointi 24 baada ya mechi 10 huku Tabora United wakisalia nafasi ya 6 pointi 17 baada ya mechi 11.

Yanga Sc 1-3 Tabora United
⚽ 90+5' Mzize
⚽ 19' Chikola
⚽ 45+3' Chikola
⚽ 77' Munganga

#KitengeSports
 
Mimi leo simlaumu kocha ni mapema sana kumlaumu Gamondi. Leo wachezaji walikuwa hawana Energy yaani hawajitumi unaona kabisa Tabora walikuwa na Energy kuliko sisi hata magoli yalikuwa yanaonekana kabisa kwamba hii move ni goal.
Wamelipwa kweli posho hawa wachezaji?
Walisahau kumeza dawa?
 
Back
Top Bottom