Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa

Simba hamuwezi ifunga Yanga kwa kugusa...
Jaribuni za mbali au counter attack
 
Hii game Ina upangaji wa matokeo asee,lasivyo yanga alipaswa awe anatongoza mpaka sasa!!!
Kutongoza!!!??? Kwahiyo akitongoza ndo inakuwaje sasa!? Acha kubeti kijana maana inaonekana ulikuwa na matokeo yako mfukoni sasa mambo si mambo unahisi game imepangwa! Kama imepangwa beti sasa upige mamilioni maana si ushajua imepangwa na matokeo yatakuwaje?
 
Kipindi cha pili hatuchezi,,ameropoka mwana5imba apa kibanda umiza.
 
Yani huku mnawaza
Yani humu mnawaza Simba na yanga tu πŸ˜€ πŸ™†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…