Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa

We mshamba wa wapi? Siyo Yanga Africans ni Young Africans
 
Anachokifanya 5imba ni sabotage kwa mapato ya Yanga,ila hili tutalilipa tuu.
Hatuhitaji kulipa ujinga wao vinginevyo itatughalimu. Sisi ni kwenda uwanjani. Wakina pakome wanahitaji uwanja ujae mashabiki maswala ya pesa yatajisumbukia
 
Mechi ipo lakini Kuna fukuto uko kwa makolo linafukuta vibaya mno,,wachezaji wanadai bonus zao karibia bil.1 awajalipwa na Kanjibhai kasusa,,sasa wachezaji wanataka mzigo wote uwekwe mezani ndio derby ichezwe,,kingine Kuna baadhi ya wachezaji awatoonekana kwenye derby inasemekana wanaofiwa kuchukua mlungura kutoka yanga ivyo awatopangwa kwenye derby ikiwemo kipa Camara,,lakini pia Kanjibhai kasusa baada ya kusikia fununu anatafutwa mwekezaji mwingine kutokana na yeye kuwa na tabia inayojirudiarudia ya kususasusa inapotokea amebanwa kwenye Kona juu ya uwekezaji wake,,mambo ni mengi umbumbuni na derby ikiisha mtasikia mengi sana
 
Upo kwenye kamati za utendaji za Simba?
 
Mechi ipo bro, niamini mimi.

Isingekuwepo sasa hivi ungekua tayari na taarifa rasmi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…