Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,299
- 40,929
Dakika 93 zimeongezwa 5 sasa mboni bado 2 huyu refa vipi hapa?Baada ya kuandaa timu mmekazana NANI ATAMKABA MPANZU
Bado dakika 2 hawa ilibidi wakazwe 3 refa kawaokoaMechi imeisha....Hawachelewi kumlaumu mtangazaji wa Azam
HahahaYanga Bingwaaaaaa Ubingwa mtamu huu kutoka kwa my wetu
Mpira na mimi wapi na wapi๐ฎMlikuwa sahihi kukimbiaaaaaaa ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ค๐๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐ช๐ช
Pole sana mkuu, such is football ๐ ๐ ๐Uongozi wa Simba ni machoko wameshindwa kukaza
Viwili vinawatosha, mapacha hao๐Mlikuwa sahihi kukimbiaaaaaaa ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ค๐๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐ช๐ช