Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa

Mashabiki wa Simba Wana akili sana walishajua hili suala la kupigwa 5 in a row wakakomalia hatuchezi kuanzia trh 8 Mangungu kutokusikia kwake!
 
Hebu tuacheni kujipa moyo na ushamba wanasimba wenzangu, pale hatuna wachezaji. Ni suala la kutafuta wachezaji wazuri. Yaani unaona kabisa wachezaji wa Yanga wako far better na hatuwakaribii hata Kwa ukaribu wa namna gani, kocha anahitaji wachezaji Bora sana. Just Imagine Mwenda alivyokua kimpira Kwa sababu kaaminiwa, Simba tuna madogo kina Duchu wanahitaji kuaminiwa Ili wa 'fit in'vizuri, tatizo mgt maelekezo mengi.

Tukae chini tujenge timu then TUPUNGUZE MDOMO, MDOMO MREFU SANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…