Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa

Mkuu Yanga mmekuwa mkituonea sana Simba.

I'm drained in pain bro I can't explain the feeling, the pain bro
Ungambile english ili kuonyesha umeumia 🀣🀣🀣🀣
Bro kapoze machungunkwa demu wa yanga leo wanatoa yooteee.

Ila na nyie msajiri wachezaji wa maana bwana....mpanzu mleteeni watu wawili wa maana mtakuwa mpo vizuri
 
Mambo ya kuamini katika Marefa, mafuta ya mwamposa na chumvi za mawe Matokeo yake ni huu udhalilishaji walio fanyiwa Leo.
Timu inashambuliwa muda wote wa mchezo.
Nendeni mkasajili Sasa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kwa kweli
Leo watu ni wakali sana jamani, kama vile mrushe ngumi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mtatuvunjia tekno zetu kheeeee
Ni ahida leo watu ni wakali sana
 
Kila Saaa tunashambuliwa sisi Half time hatuma hata off target

Whhhhhhhhyyyyyyyyyyyy
 
Hii haina kipengele Tena wanangu turudini Sasa kwenye No reform no Election πŸ™πŸ™πŸ™
 
Mimi ninachojua wamefungwa wachezaji wa Simba na viongozi wao ila mashabiki atujafungwa na mechi atuijui
 
Vitu vinauma mtani...this is tooo much...
Mechi ya Leo kocha wa yanga anastahili pongezi kacheza Kwa tahadhari Sana, sijaona Simba ikifanya shambulizi la kuleta madhara

Ila naamini Simba wataingia sokoni kuunda kikosi kizuri, yanga tunaweza kubweteka!!! Mpeni muda fadlu atafanya kitu...



Piga wine hapo ulale kesho tutakua tumesahau haya mamboπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…