PamepoaaDuuuuu.
Kumbe leo wacheza????
Pamepoa sanaKila la heri Young Africans Sc Timu ya wananchi β½
leo wana toka droπ°πππππππππ°
π #NBCPremierLeague
β½οΈ Young Africans SCπNamungo FC
π 13.05.2025
π KMC Complex
π 10:15 Jioni
View attachment 3332640
Ngumu sanaleo wana toka dro
Mbona nyie March 8 hamkucheza?Hatuchezi leo wanacheza ila ikifika kwa mnyama wanaanza kutoa chozi la uchungu kwa msomali.
Tuliza msambwandaHamna imani na bodi ya ligi na bado mnacheza, kweli nyie vilaza.
Bila KEFA KAYOMBO, Mashujaa wangewapa mimbaTunaokipiga Caf vimechi kama hivi tunaviona kama ndondo cup ya rede..
Km mliyopewa na Mc Alger!Bila KEFA KAYOMBO, Mashujaa wangewapa mimba