Chick_tz
JF-Expert Member
- Mar 2, 2025
- 2,447
- 3,302
Kwa nim juzi mlikuwa mnashangilia mpimwe akili mnajigeuka wenyeweTunaokipiga Caf vimechi kama hivi tunaviona kama ndondo cup ya rede..
Kwa nim juzi mlikuwa mnashangilia mpimwe akili mnajigeuka wenyeweTunaokipiga Caf vimechi kama hivi tunaviona kama ndondo cup ya rede..
Watu wako bizee na siasa kutafuta ukombozi wa kweli kutoka kwa mkoloni ccmHivi! Uzi umekimbiwa 😃😃
Tarehe 15 leteni timu tuwapasueKwa nim juzi mlikuwa mnashangilia mpimwe akili mnajigeuka wenyewe
Endeleeni kujizima data makoloTarehe 15 leteni timu tuwapasue
Acha maneno leta timu upigike... tunachukua vikombe vyote ndo maana mnazira.Endeleeni kujizima data makolo
Finali mna kuwa pisi kali.Km mliyopewa na Mc Alger!
Taarifa gani?
Mkuu utashangaa, iyo game hatoki mtu labda dunia ipasuke... Hao Berkane wako tunawakula nje ndani.Finali mna kuwa pisi kali.
No reforms no election!!Watu wako bizee na siasa kutafuta ukombozi wa kweli kutoka kwa mkoloni ccm
Nyie ni mademu zetu, huta tunajichagulia style tu.Tarehe 15 leteni timu tuwapasue
Una kichaa wewe.Mkuu utashangaa, iyo game hatoki mtu labda dunia ipasuke... Hao Berkane wako tunawakula nje ndani.