mtzedi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 6,313
- 6,636
Bakari Nondo?Dube anakosaje ile nafasi ya wazi kabisa, Nina wasiwasi zile tetesi anacheza mchezo flani ni za kweli
Bakari Nondo?Dube anakosaje ile nafasi ya wazi kabisa, Nina wasiwasi zile tetesi anacheza mchezo flani ni za kweli
yes, tuhuma zimekuwa nyingiBakari Nondo?
Angalia mbungi, hawa Namungo Kolo FC mlianza kuwafunga baada ya mchezaji wao kupewa red kadi,baadae TFF waka review card na kuifuta ile red card kwa aibu. Bila kupungua msingetoboa, ila tushawazoea nyie wenzetu mechi zenu refa ndiye anakuwa man of the match, ndio maana mnapenati za ajabu ajabu kumi na tatu na ndio mnaongoza kupewa penati, mnacheza vipindi vitatu wenzetu.Utopolo kwa kununua mechi wako vizuri Namungo wanawasindikiza utopolo tu hadi golini, kwa tabia hii utopolo wataishia kucheza Gombani pemba tu kimataifa wataiskia.
Tumia kichwa kufikiri sio masaburiAngalia mbungi, hawa Namungo Kolo FC mlianza kuwafunga baada ya mchezaji wao kupewa red kadi,baadae TFF waka review card na kuifuta ile red card kwa aibu. Bila kupungua msingetoboa, ila tushawazoea nyie wenzetu mechi zenu refa ndiye anakuwa man of the match, ndio maana mnapenati za ajabu ajabu kumi na tatu na ndio mnaongoza kupewa penati, mnacheza vipindi vitatu wenzetu.
Wewe si unatumia kiboga kufikiri.Tumia kichwa kufikiri sio masaburi
Familia🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Young Africans SC🆚Namungo FC
📆 13.05.2025
🏟 KMC Complex
🕖 10:15 Jioni
View attachment 3332640
Updates
Lineups
YANGA
View attachment 3332676
NAMUNGO
View attachment 3332677
Updates
Dk 26 > Yanga wanapata goli la kwanza (Aziz ki)
Dk 30 > Yanga wanapata goli la pili (Prince Dube)
Dk 36 > inatolewa kadi ya njano (Bakari Mwamnyeto)
Dk 38 > Mabadiliko kwa Namungo (Anatoka Fabrice Ngoyi anaingia Meddie Kagere)
Mapema kabisaYanga bingwa
Maxla tatu nani kafunga..?
Mnakaa wiki mbili hamjacheza lazima muwe hivyo,mimi ndio maana huwaga sipendagi viporo.Uwezo wa finishing umeshuka sana
Msije mkafyata midomo tunawaelewa sana mkipigwa mnaficha mikia yenuMkuu utashangaa, iyo game hatoki mtu labda dunia ipasuke... Hao Berkane wako tunawakula nje ndani.
Mkuu nilidhani hauna akili kumbe ni kweli yaani unasema utashinda mechi bila kuchezaMsije mkafyata midomo tunawaelewa sana mkipigwa mnaficha mikia yenu
Game kubwa tunazitaka coz hata hivyo sisi ni wakubwa kuliko Berkane kwenye rankingsMsije mkafyata midomo tunawaelewa sana mkipigwa mnaficha mikia yenu