Full Time: Yanga SC 3-0 Namungo FC | NBC Premier League | KMC Stadium | 13-05-2025

Utopolo kwa kununua mechi wako vizuri Namungo wanawasindikiza utopolo tu hadi golini, kwa tabia hii utopolo wataishia kucheza Gombani pemba tu kimataifa wataiskia.
Namungo anafungwa, Simba unawashwa tk, wasilisha malalamiko polisi.
 
Papasa kama kichwa Bado kipo isije kuwa umeuza pia maana unaandika uchafu.
 
Dube anakosaje ile nafasi ya wazi kabisa, Nina wasiwasi zile tetesi anacheza mchezo flani ni za kweli

Njoo uwanjani mbona hutaki kuja... utacheza kwa lazima, lazima ucheze maana unapenda sana kunikimbia
Namungo anafungwa, Simba unawashwa tk, wasilisha malalamiko polisi.
Kila la kheri Young Africans
Aliekuita ni nani mbona kiherehere
Papasa kama kichwa Bado kipo isije kuwa umeuza pia maana unaandika uchafu.
Vp bodi y ligi ni ile ile
Ngonjera hii ya mama na wanae inaletwa kwenu kwa udhamini mnono wa gsm

Mzize inakuwaje?

Kazi ipo.
Fitness iko chini sana.
Namungo wenyewe hawajachangamka
 
Back
Top Bottom