Full Time: Yanga SC 3-0 Namungo FC | NBC Premier League | KMC Stadium | 13-05-2025

Wachezaji wa yanga wahapo fit , kama Azz K anatembea tu uwanjan, mechi na JKT wajipange!
 
Utopolo kwa kununua mechi wako vizuri Namungo wanawasindikiza utopolo tu hadi golini, kwa tabia hii utopolo wataishia kucheza Gombani pemba tu kimataifa wataiskia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…