Full Time: Yanga SC 3-0 Namungo FC | NBC Premier League | KMC Stadium | 13-05-2025

Duh! Mipira mingi inapotea kwa Aziz.
Atoke tu sasa
 
Utopolo kwa kununua mechi wako vizuri Namungo wanawasindikiza utopolo tu hadi golini, kwa tabia hii utopolo wataishia kucheza Gombani pemba tu kimataifa wataiskia.
Angalia mbungi, hawa Namungo Kolo FC mlianza kuwafunga baada ya mchezaji wao kupewa red kadi,baadae TFF waka review card na kuifuta ile red card kwa aibu. Bila kupungua msingetoboa, ila tushawazoea nyie wenzetu mechi zenu refa ndiye anakuwa man of the match, ndio maana mnapenati za ajabu ajabu kumi na tatu na ndio mnaongoza kupewa penati, mnacheza vipindi vitatu wenzetu.
 
Tumia kichwa kufikiri sio masaburi
 
Familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…