Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024

Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024

Kuna watu watawalaumu Ken Gold,kwa tano walizo pigwa,yaani wanapenda kujisahaulisha.
 
Simba wakifikiria vile vigoli vyao vya papatu papatu wakione izi 4 5 wanalalamika kweli

Furaha imepotea🤣
Furaha ipotee wakati simba ndio timu ya kwanza kufunga goli tano kwenye ligi msimu huu na bado inaongoza ligi, mbona mnapenda kujifariji kiasi hicho hivi huwa hamjisikii raha bila kujilinganisha na simba, na kumbuka katika yale matano hakukuwa na penalty maana mngepata cha kusema
 
Back
Top Bottom