Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mnaongoza ligina au mmekaimu ligi mtatoka hapo sasaivi.Furaha ipotee wakati simba ndio timu ya kwanza kufunga goli tano kwenye ligi msimu huu na bado inaongoza ligi, mbona mnapenda kujifariji kiasi hicho hivi huwa hamjisikii raha bila kujilinganisha na simba, na kumbuka katika yale matano hakukuwa na penalty maana mngepata cha kusema
mnaongoza ligina au mmekaimu ligi mtatoka hapo sasaivi.
Pole mkuu, mungu awafanyie wepesi mwakapenat wote waloumizwa na matokeo ya leo.Mganga wa yanga kaamua kurudi mzigonin ili apate ada ya January
Mpewe tu, ili mjifariji.Mods tupe msimamo wa ligi
Wanywa supu wanadanganywa watulie😂😂😂Mods tupe msimamo wa ligi
Hiyo kanuni ya kukaimu ligi ni ya wapi, kwa sasa tunaongoza ligi na tunaingia mwaka 2025 huku tukiwa timu pekee yenye points 40 baada ya mzunguko wa kwanza wa ligi, baada ya kusema hayo naleta mic kwako ewe utopolo una lipi lingine la kusemamnaongoza ligina au mmekaimu ligi mtatoka hapo sasaivi.
Dua la kuku halimpati mwewe.Lolote baya liwakute utopolo
Tumeshamkimbiza ameshachoka na kukaa chini anasubiri tu hukumu yake.Kila la heri kwa Wananchi Young Africans. 💚💛💪
Ushindi ni muhimu sana wakati huu tunapomkimbiza mwizi kimyakimya.
Kwani mkuu, Wale waliowakanda tatu wana timu bora kuliko Simba?huna timu iyo, mechi na costal zinakutoa jasho utaweza mziki wa yabga
Simba inaweza kuwakanda 2.Kwa sasa team tunayo, nadhani awam hii mo mwenyewe ndo ataitisha press na si wazee.