Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024

Ukiyaambia yaandamane kudai katiba mpya hayataki. Ila yamejaa humu kushabikia simba na Yanga kama mazuzu
Jitahidi ufiche ujinga wako. Siku nyingine ukiwaambia hao watu waandamane, na wewe ujitahidi kukaa mstari wa mbele kuyaongoza hayo maandamano! Na siyo kujificha kwenye migomba yenu ya urithi kule Machame.
 
Makolo wamekuwa watu wa hovyo sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…