Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024

jibu ni ndio, rejea mechi yao na simba walichezesha kikosi gani na wachezaji wa kikosi cha kwanza walikuwa wapi
Hawana kikosi kizuri kuliko Simba. Nafasi yao kwenye ligi inathibitisha hilo.
 
Lile goli ili azuie ilihitajika aruke azuie kwa mkono.
Mpira ulikua na kasi zaidi yake
Uzembe ange slide mapema ku block mpira...

Katika age langu hili umri umesha nitupa mkono.....mpira ungenipa kila kitu...

Tanzania Kuna vipaji Sana SCOUTING ZIFANYWE vya kutoshaa tupate vipaji vya maanaa.

Kipindi icho 82 rangers inaifunga yanga au Simba ni kawaida TU. Leo hii timu ya ligi kuu inafungaa Kama timu ya MALEDE😊😊
 
Pole mkuu, mungu awafanyie wepesi mwakapenat wote waloumizwa na matokeo ya leo.
Sio pole,mimi naangalia games nyingi Si yanga na simba pekee mpk coast vs KMc niliangalia,wapinzani wanapumbazwa akili angalia wachezaji wanapocheza na yanga halafu waangalie haohao wakicheza na timu nyingine ndio utaelewa ninachosema ila km ni shabiki wa yanga hutanielewa.
Timu zinarudi mashindano ya kimataifa ndio ukweli utajitenga
 
Ilibidi iwe 6 - 0, lkn Refa kakataa 1 kwavile kafunga Dube.
 
Dube badooo mechi yenyee intensity kubwaaa kama To sizanii Lamaa atafurukuta...Leo pakufunga anakosaa,Kii nae pass zinafia kwakee
 
Dah! Kichuguu umepatia perfectly utabiri wako kama vile ni Sheikh Yahya.
 
Kuna gazeti lilikuwa na kichwa : YANGA YAIPUMULIA SIMBA KILELENI
Bahati mbaya mhariri mkuu ni kolo original, amebadilisha.
 
Yanga saivii imekosa no.9 muuaji tu angepatikana kama Mayele,halafu Mzizee yupo Fomu🔥🔥Dube Bado habadilikii kabisa anachezaa kirembooo
 
Simba mna midomo sana, msimu jana tuliwakanda 5 bt kila tulipocheza na tim zingine tukizifunga mnatoa milio as if nyie hamjakandwa.

Msim huu pia tushawakanda mara 2, bt bado msivyo na aibu bado mnatoa milio wakifungwa wengine.
 
Simba mna midomo sana, msimu jana tuliwakanda 5 bt kila tulipocheza na tim zingine tukizifunga mnatoa milio as if nyie hamjakandwa.

Msim huu pia tushawakanda mara 2, bt bado msivyo na aibu bado mnatoa milio wakifungwa wengine.
Mm simshabiki wa club but mpz wa mpira,so km unafikiria ninauhusiano na klabu yyt umepotea boss,I love football na Kwa sasa kuna wakimbiaji lkn vipaji hakuna,mara nyingi sana siwezi angalia mpira dk zote 90 kwakua mpira ninaoujua siuoni,naona wakimbiaji/wavivu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…