Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024

Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024

jibu ni ndio, rejea mechi yao na simba walichezesha kikosi gani na wachezaji wa kikosi cha kwanza walikuwa wapi
Hawana kikosi kizuri kuliko Simba. Nafasi yao kwenye ligi inathibitisha hilo.
 
Lile goli ili azuie ilihitajika aruke azuie kwa mkono.
Mpira ulikua na kasi zaidi yake
Uzembe ange slide mapema ku block mpira...

Katika age langu hili umri umesha nitupa mkono.....mpira ungenipa kila kitu...

Tanzania Kuna vipaji Sana SCOUTING ZIFANYWE vya kutoshaa tupate vipaji vya maanaa.

Kipindi icho 82 rangers inaifunga yanga au Simba ni kawaida TU. Leo hii timu ya ligi kuu inafungaa Kama timu ya MALEDE😊😊
 
Pole mkuu, mungu awafanyie wepesi mwakapenat wote waloumizwa na matokeo ya leo.
Sio pole,mimi naangalia games nyingi Si yanga na simba pekee mpk coast vs KMc niliangalia,wapinzani wanapumbazwa akili angalia wachezaji wanapocheza na yanga halafu waangalie haohao wakicheza na timu nyingine ndio utaelewa ninachosema ila km ni shabiki wa yanga hutanielewa.
Timu zinarudi mashindano ya kimataifa ndio ukweli utajitenga
 
🔰 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 Day🔰

🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Young Africans SC🆚Fountain Gate
📆 29.12.2024
🏟 KMC Complex
🕖 10:00 Jioni

View attachment 3187603
#Daimambelenyumamwiko#
Gusa achia, twende kwao, tukawafunge nyingi.

KIKOSI CHETU CHA LEO
View attachment 3187715
View attachment 3187741
Updates
Mechi imeanza

DK 1
Mpira unaanza kwa kasi.
Yanga wanaumiliki mpira,
0-0

DK 12
Game on umiliki uko kwa Yanga sasa.
FG bado hawajakaa vizuri.
Prince Dube anadhibitiwa kwa umakini na Makame.

DK 14
Pacomeee anapiga inagonga net ya nje pale.
0-0

DK 15
Goooooooooooal Pacomeeee.
Yanga wanapata goli safi la kuongoza kupitia kwa Pacome
1-0

DK 27
Mpira unaendelea Yanga wanapata free kick nje kidogo ya 18.
Baada ya Aziz K kudondoka.
Anapiga Aziz inagonga mwamba.

Cooling Break

DK 30
Yanga wanafanya shambulizi kali, linatolewa nje, inakuwa kona anapiga Aziz Kipa wa FG anaudaka mpira.
Game On
1-0

DK 34
FG wanafanya shambulizi kali kwenye lango la Yanga, Ambundo anapiga inakuwa off target.
Mpira wanamiliki FG sasa.
1-0

DK 40
Mudaaaaaathiri
Goooooooooooal la pili.
Ilikuwa hivi: Dube alitanguliziwa akapiga kipa akaitoa ikawa kona, akapiga Aziz Kona, Ikapigwa kichwa na FG Mzize akairudiasha ndani kwa Kichwa Mudathir akafunga a very clear goal.
2-0

DK 45
Goooooooooooal
Pacomeee anafunga goal la 3.
Kwa Yanga.
Ilikuwa Mzize ametoa assist kwa Pacome.
Chuma cha 3.
Dakika za Nyongeza ni 3.
3-0.

HT
Yanga 3 - 0 Fountain Gates FC
View attachment 3187829

============&&&&&&&&=======

2nd Half Updates....

DK 45
FG Substitution
Albano Out
Shiga Inn
Mpira unaendelea
3-0

DK 51
Yanga wanapata Kona inapigwa na Pacome, inatokea kosa kosa golini kwa FGT.
Piga piga inazalisha free kick nje kidogo ya 18.
Abdala Yasin Anapata Kadi ya Njano.
Anacheza Ki Aziz kipa anatoa nje, inakuwa kona inapigwa inaoshwa na FG

DK 53
Goooooooooooal la Nne.
OG wanajifunga FGT hapa baada ya Pacome kupiga shout kali inagonga mtambaa panya beki wa FGT wanajifunga.
4-0

DK 61
Dubeeeeeee anatupia inakuwa offside.

DK 62
Substitution Yanga.
Aucho Out
Sureboy Inn
Dube Out
Farid Mussa Inn
Game On
4-0

DK 69
Substitution FGT
Ambundo Out
Kassim Inn.Game on
4-0

DK 70
Yanga wanapata kona hapa.
Anapiga Pacome inakuwa goal kick.
Baada ya Abuya kuitoa kwa kichwa.
4-0

DK 72
Subs Yanga.
Aziz Out
Shekhan Inn

DK 74
Yanga wanapata kona inapigwa na Pacome inaokolewa na FGT
4-0

DK 80
Yanga wanapata free kick inapigwa na Pacome, Shekhan anaipokea anapiga off target
Game On
4-0

DK 84.
Mokono Yellow kadi
Substitution kwa Yanga.
Nkane Inn
Pacome Out.

DK 86
Mzizeeeeeeeeeeee
Chumaaaaaaaaa cha 5.
Yanga wanapata goal la 5 hapa.
Mzize anaichop kwa mbali baada ya kipa kuitoa.
Chuma inajaa wavuni.
5-0

DK 90 nyongeza ni 3.
Yanga wanapata kona inapigwa haileti madhara .
Free Kick wanapata Yanga anaipigwa na Boka wanaitoa FGT inafika kwa Babu kaju anapiga Shuti anaondoa Kipa wa FGT.
5-0

Mpira Umemalizika Yanga 5 - 0 Fountain Gates FC
View attachment 3187891
Ilibidi iwe 6 - 0, lkn Refa kakataa 1 kwavile kafunga Dube.
 
Dube badooo mechi yenyee intensity kubwaaa kama To sizanii Lamaa atafurukuta...Leo pakufunga anakosaa,Kii nae pass zinafia kwakee
 
Nimechelewa kwenye mishe mishe; nilitaka kuwahi nianzishe uzi huu ila tena umeshanipiku. Ngoja nitafanya taimingi nzuri kuanzisha uzi wa wakati wa mchezo dhidi ya TP Mazembe.

Nitafurahi sana iwapo Yanga itapata mabao 5-0 ili kuondoa pengo la Goal Difference dhidi ya Simba
Dah! Kichuguu umepatia perfectly utabiri wako kama vile ni Sheikh Yahya.
 
Kuna gazeti lilikuwa na kichwa : YANGA YAIPUMULIA SIMBA KILELENI
Bahati mbaya mhariri mkuu ni kolo original, amebadilisha.
 
Yanga saivii imekosa no.9 muuaji tu angepatikana kama Mayele,halafu Mzizee yupo Fomu🔥🔥Dube Bado habadilikii kabisa anachezaa kirembooo
 
Sio pole,mimi naangalia games nyingi Si yanga na simba pekee mpk coast vs KMc niliangalia,wapinzani wanapumbazwa akili angalia wachezaji wanapocheza na yanga halafu waangalie haohao wakicheza na timu nyingine ndio utaelewa ninachosema ila km ni shabiki wa yanga hutanielewa.
Timu zinarudi mashindano ya kimataifa ndio ukweli utajitenga
Simba mna midomo sana, msimu jana tuliwakanda 5 bt kila tulipocheza na tim zingine tukizifunga mnatoa milio as if nyie hamjakandwa.

Msim huu pia tushawakanda mara 2, bt bado msivyo na aibu bado mnatoa milio wakifungwa wengine.
 
Simba mna midomo sana, msimu jana tuliwakanda 5 bt kila tulipocheza na tim zingine tukizifunga mnatoa milio as if nyie hamjakandwa.

Msim huu pia tushawakanda mara 2, bt bado msivyo na aibu bado mnatoa milio wakifungwa wengine.
Mm simshabiki wa club but mpz wa mpira,so km unafikiria ninauhusiano na klabu yyt umepotea boss,I love football na Kwa sasa kuna wakimbiaji lkn vipaji hakuna,mara nyingi sana siwezi angalia mpira dk zote 90 kwakua mpira ninaoujua siuoni,naona wakimbiaji/wavivu tu
 
Back
Top Bottom